Sugested Lyrics from Diamond Platnumz

Amanda

Wazozi wanirarango ziroria (Amanda)Rinongomira mbwira inokuila (Amanda)Eh! Tiffah mbe mama era

Kidogo

the awesome)NtamuWasafiKidogo dogo, ah kidogo kileKidogo dogo, ah kidogo kileKidogo

Nana

Onanana onanananana (ooh)Baby basi hujui tu mi kitandani ka schumacherIt's Diamond,

Pamela

1: Diamond kako sexyPamela!Kiuno kama kazaliwa CongoEbu ni ka

Kwanini?

1: Diamond Usinione naliaMoyoni naumiaKila siku maugomvi, unanukia mabiaIna

Baikoko

1: fineKila nikikaaga kwenye lineBila bilaShwaainKwake nimelewa kama

Eich She’hee Rokedet (Baila) - (איך שהיא רוקדת (ביילה

דיאמונד is the remixAll the way from IsraelSubliminal, Miri

Kama Wengine

Oya we unajifanya ah, unajifanya mtu wa dini mchanaUsiku kidimbwi unagombania

Kizaizai (Remix)

Linah ThomasOh oh oh oh 1: Linah

Naila

you like me so muchAnything put awayAnd the love

Naogopa

Mapenzi chengaYakikupiga unasurrenderNa wengi wakipendwaWanasahau kuna kutendwaMapenzi chengaYakikupiga unasurrenderNa wengi wakipendwaWanasahau

Salama

badmanMopaoNa samba lamaAiyoo ohhEh he he 1 :

Salima

Linex & Diamond je je, ahThe VOATuddy 1:

Sugua

1: mpe funguo za bimaKanitoa Bongo nimefika mpaka

Tanzania

BangerEhO no no no ehEhNakupenda ahBaby girl you stole my heartNa

Tetema

twende tetema (oh, mama tetema)Tipwatipwa tetema (oh, mama tetema)Aya

Tetema (Loh Ra remix)

Rayvanny ft Diamond platnumz_-_Tetema (Loh Ra remix)Chorus;TetemaTetemaTetemaVerseTetemaKama kakupiga ngetaTetemaTetemaChorus;TetemaTetemaTetemaVerse 2Hoi mama,

Yataniua

Ni nini hiki mbona chanizuzuaNini hiki mbona chanisumbuaNakaribia kuzalilikaNakaribia kuzalilikaAliyeumba mapenzi

Yo Pe (Remix)

Diamond Platnumz & timbiNa timbeli yo(Wasafi...)Yuma n'o kaka t's

Zilipendwa

"Zilipendwa" - Diamond Platnumz X Harmonize, RayvannyRich mavoko, Queen Darleen, Mbosso

We've prepared the official lyrics Yataniua by Diamond Platnumz on rare-Lyrics.com.
The complete song text appears below.


Ni nini hiki mbona chanizuzua
Nini hiki mbona chanisumbua
Nakaribia kuzalilika
Nakaribia kuzalilika

Aliyeumba mapenzi hakusema yanamaumivu
Aliyeumba mapenzi kakusema unaua wivu
Gharama mapenzi gharama
Utachukia ndugu marafiki ugomvi na mama
Gharama mapenzi gharama
Na nidonda sugu halitibiki ukishazama
Unamuamini nakuzani ndugu yako
Kumbe kijini ndio baby wa baby wako

Mapenzi yataniua
Bora nitafute pesa nianze jishaua
(Niwe happy now)
Mi mahaba yataniua (yatani kill)
Bora nitafute pese nianze jishaua
Nikizipata ni
Mitungi mitungi mitungi
Mitungi mitungi mitungi
Mitungi mitu tu
Mitungi mitungi mitungi
Mitungi mitungi mitungi
Mitungi mitungi
Na watakoma aisee hili party
Nyama choma ashjee ashe
Miziki magoma ashjee vya arusha nivichomaje aje aje
Na watakoma aisee hili party
Nyama choma ashjee ashe
Miziki magoma ashjee vya arusha nnita vishhh
Nipite na kila mtu
Hadi we, hadi we
Hadi we, hadi wewe
Hadi we, hadi we
Hadi we, hadi wewe
Eh, kaa kupenda kampende baba ako (aah baba ako)
Si unapenda kampende dada ako (aah dada ako)
Kaa kupenda, kampende baba ako (aah baba ako)
Si unapenda kampende kaka ako (aah kaka ako)

Mapenzi yataniua (yatanikill)
Bora nitafute pesa nianze jishaua
(Niwe happy now)
Mi mahaba yataniua (yatani kill)
Bora nitafute pese nianze jishaua
Nikizipata ni
Mitungi mitungi mitungi
Mitungi mitungi mitungi
Mitungi mitu tu
Mitungi mitungi mitungi
Mitungi mitungi mitungi
Mitungi mitungi
Gharama mapenzi gharama
Utachukia ndugu marafiki ugomvi na mama
Gharama mapenzi gharama
Na nidonda sugu halitibiki ukishazama
Hadi we, hadi we
Hadi we, hadi wewe

FAQ: Yataniua by Diamond Platnumz

Q. Who sings Yataniua

A. The hit track Yataniua is performed by Esm Diamond Platnumz

Q. Who wrote the lyrics for Yataniua

A. All lyrics are written by Diamond Platnumz

Hope you enjoyed reading the lyrics Diamond Platnumz - Yataniua

A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z

DMCS Policy Privacy Policy

© 2025 «lyrics». All rights reserved.