Sugested Lyrics from Diamond Platnumz

Number One (Remix)

Diamond RecordsTudd ThomasCle-Clever 1: your body dey

Mawazo

AM na uwezo, ningekunywa hata pombeIli nipunguze mawazoMana!Mchana kutwa

Chitaki

We ndo kitumbua we ndo sambusaBasi njoo unichum baby ndo tuseme

Eich She’hee Rokedet (Baila) - (איך שהיא רוקדת (ביילה

דיאמונד is the remixAll the way from IsraelSubliminal, Miri

Fresh

Pabi Cooper & Diamond yeah, yeah...(Ah, tchu)Yeah, yeah, yeah...(Tchu,

Gimmie

Diamond wan tell you a story o (story story

Kamata

Kamata Kamatika KamataKamata Kamata Mpaka Chini KamataKamata Kamata Kamatika KamataKamata

Karibu

(Abbah), (Ayolizer)Ishafika saba sasatunakungojeaImebaki miezi miwili tu hebu siku sogeaTuna shauku

Kuna

waolewa we huolewi kwani weAti una hila moja husemi

Loyal

promise to be loyalI’ll be loyal, I promiseI promise to

Mama Tetema

de "Mama Tetema" ft. Maluma & baby, ¡wuh!Aya

Money

Solidstar & Diamond Solidstar & Diamond dem dey

Naanzaje

Aliumba ardhi akaumba mbinguAkaumba mbaramweziKaumba nafsi, Kaumba wivuAkayaumba na mapenziNa kukuacha

Penzi

Upendo haupimwi kwa maneno walaUnapimwa kwa matendoNa acha waseme, usiku watalalaHawatolivunja

Prokoto

Victoria le le le le le yahYahLa la la

Rockonolo (Remix)

Diamond Platnumz, Lumino, Mohombi, this is the remix (Yeah)La

Sona

1: Diamond let me show you, how much I

Sound

Diamond shika kashika hukuEh eh, kashika hukuEh, shika kashika

Tayari

1: we gon' sweat, sweat, sweatTayariEverything is all setTayariI

Utanipenda

lala laaaOoh La la la la Ghafla visenti

We've prepared the official lyrics Zilipendwa by Diamond Platnumz on rare-Lyrics.com.
The complete song text appears below.


"Zilipendwa" - Diamond Platnumz X Harmonize, Rayvanny
Rich mavoko, Queen Darleen, Mbosso & Lava Lava

[Intro: Diamond]
Oooh! hizo ni zama za kale
Oooh! Sangulo na Pepe Kalle
Zilipendwa

[Verse 1: Rayvanny]
Eh! Kizamani,kutoa card na maua (zilipendwa)
Wanataka money ukilipa unakwarua(zilipendwa)
Ufundi kitandani,sio maguvu kujikwamua(zilipendwa)
Unafika ndani,hujatomasa unachanua(zilipendwa)
Wanawake wa leo wanataka mikakati
Ukiwa mzugaji haki ya mungu huwapati(zilipendwa)
Mapenzi ya video yatakutoa kamasi
Eti nikinywa maji nakuona kwenye glass(zilipendwa)
Eeh! kupiga chabo getto(zilipendwa)
Mkono na dettol(zilipendwa)
Sunche na kapeto(zilipendwa)
Majay na Mobeto(zilipendwa)

[Chorus: Diamond]
Oooh! Hizo ni zama za kale
Oooh! Sangulo na Pepe Kalle
Mmm boringo ndombolo(zilipendwa)
Twanga chipolopolo(zilipendwa)
Na maji ya kandoro(zilipendwa)
Simba wa Morogoro(zilipendwa)
[Verse 2: Rich mavoko]
Mtaani sipati sukari guru kabisa(zilipendwa)
Hivi yuko wapi Mb Dogg wa Latiffa(zilipendwa)
Babu Tale wapi papa misifa(zilipendwa)
Siku hizi party hatuendagi Ibiza(zilipendwa)
Mpira na Pele(zilipendwa)
Tanu na Nyerere(zilipendwa)
Asha Ngedere(zilipendwa)
Aurlus Mabele(zilipendwa)
Eeeti Uuze nyumba uweke heshima bar
Eeeti Ulazimishe aliyekukataa
Sabuni Kicherema(zilipendwa)
Mabanda ya Cinema(zilipendwa)
Lipumba na Mrema(zilipendwa)
Diamond na Wema(zilipendwa)

[Chorus: Diamond]
Ooooh hizo ni zama za kale(zama za zamani)
Ooooh Sangulo na Pepe Kalle (yoyoyo)
Mmm Aggy na sogi dogg(zilipendwa)
Chanel analog(zilipendwa)
Movie za saibog(zilipendwa)
Van Damme Arnold(zilipendwa)

[Verse 3: Queen Darleen]
Una nibeep nikupigie umeiweka vocha(haloo)
Ule wewe nilipe mie umeniona Loffa
Teena na madada wenye majina acheni visa
Unaitwa ukale dinner mnakwenda Tisa
Nywele za kichina(zilipendwa)
Pochi za kuazima(zilipendwa)
Zena na betina(zilipendwa)
Bashite gwajima(zilipendwa)
[Chorus: Diamond]
Ooh hizo ni zama za kale(zama za zamani)
Ooh Sangulo na Pepe Kalle (yoyoyo)
Mmm Amitabh Bachchan(zilipendwa)
Tv kwa jirani(zilipendwa)
Madee Rayvany(zilipendwa)
Zai Ivan(zilipendwa)

[Verse 4: Harmonize]
Yanini kunichunguza naishi wapi(zilipendwa)
Nala,chapati kwa maini au makapi(zilipendwa)
Kutwa kunikalia chini unda kamati
Oh ya Rabi masikini kuni dhihaki
Ah Samba Mapangala(zilipendwa)
P Funk Kajala(zilipendwa)
Onyango na Jangala(zilipendwa)
Rufufu mkandala(zilipendwa)
Vya nini vidomo domo tutupiane tunguli
Kisa pesa za mkopo msimu wa Magufuli
Ah,Bongoman yondo(zilipendwa)
Sikinde Msondo(zilipendwa)
Magari ya Udongo(zilipendwa)
Babu wa Loliondo(zilipendwa)

[Chorus: Diamond]
Ooooh! hizo ni zama za kale(zilivumaga sana)
Ooooh! Sangulo na Pepe Kalle (yoyoyo)
Ah Tv za kichogo(zilipendwa)
Wakina Man Dojo(zilipendwa)
Aggy na Iyobo(zilipendwa)
Akina Hatupogo(zilipendwa)
[Verse 5: Mbosso]
Eti msiba ukiona Bundi unataka kupagawa
Tulale makundi makundi kuogopa popo bawa
Zuwena nitampata wapi(zilipendwa)
Zuwena wa zile nyakati eh(zilipendwa)
Kujifanya mapanga sunna eti wamepinda
Wengine wabeba vyuma na hakuna marinda
Iddi Amini dada(zilipendwa)
Miuno ya H Baba(zilipendwa)
Domo Chai Jabba(zilipendwa)
Michezo ya kibaba baba(zilipendwa)

[Verse 6: Lava Lava]
Wale wapiga madeal sasa hali mbaya(zilipendwa)
Hizi zama za Magufuli si za Jakaya(zilipendwa)
Ugomvi wa Mr.Nice na Dudu Baya(zilipendwa)
Vikatuni vya madenge baba ubaya(zilipendwa)
Muhogo mchungu Mr.bean,wapi bambo(zilipendwa)
Wale wazamiaji wale wa melini wazee wa ng’ambo
Hivi yuko wapi Banjamini wa Mambo Jambo
Wa Vietnam waporini vita na Rambo
Eh ndanda Mjela jela(zilipendwa)
Kidali Kombolela(zilipendwa)
Max na Zembwela(zilipendwa)
Juma Nature na fela(zilipendwa)

[Chorus: Diamond]
Ooooh hizo ni zama za kale(zama za zamani)
Ooooh Sangulo na Pepe Kalle (yoyoyo)
Mmm kamanda Daz Nunda(zilipendwa)
Kalumanzila Ndumba(zilipendwa)
Simu za Dole gumba(zilipendwa)
Johari na Kanumba(zilipendwa)

[Outro: Rayvanny]
Wasafiiiii!!!

[Outro: Diamond]
Zilipendwa,Zilipendwa
Zilipendwa,Zilipendwa

[Outro: Harmonize]
Ohleelileeee lelelilee
ZILIPENDWA

FAQ: Zilipendwa by Diamond Platnumz

Q. Who sings Zilipendwa

A. The hit track Zilipendwa is performed by Esm Diamond Platnumz

Q. Who wrote the lyrics for Zilipendwa

A. All lyrics are written by Diamond Platnumz

Hope you enjoyed reading the lyrics Diamond Platnumz - Zilipendwa

A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z

DMCS Policy Privacy Policy

© 2025 «lyrics». All rights reserved.