Sugested Lyrics from Diamond Platnumz

Amanda

Wazozi wanirarango ziroria (Amanda)Rinongomira mbwira inokuila (Amanda)Eh! Tiffah mbe mama era

Iyena

1: Diamond Leo Chereko cherekoMwanenu nimekuwaZile kuringa mideko itapunguaAhsante

Kissing (Remix)

Yemi Alade ehEffyzzie uhnFliptyce Yemi me and

Chanda Chema

chema huvishwa peteBasi pende nikupenda mi nikuvishe darlingHongera ya

Abeykehh

Here we go againEveryday we celebrate for where we deyMake we

Black Madonna

Chii! Stone Bwoy na DiamondAga I smileI swear you blow my

For You

Or nor nor norYeah yeahYou be the brush I be the

Gere

Verse OneAti unapenda kuni kikupa mpaka morningNikipekenya pekenya nisiwahi nicheleweKikuchum mdomoni

Kamata

Kamata Kamatika KamataKamata Kamata Mpaka Chini KamataKamata Kamata Kamatika KamataKamata

Kokoro

"Kokoro" ft Diamond LaizerWasafi 1: Rich and You

Kwa Ngwaru

1: wish ningekuwaga na mavumbaMkwanja manotiNikuhonge vya thamaniAma,

Naila

you like me so muchAnything put awayAnd the love

Nidanganye

Diamond Platnumz & KGTPlatnumz, babyHollaHollaNikoShetta de Shetta de ShettaOkayShetta

Nitarejea

Diamond ah 1: Diamond mizigo umeshaweka tayariMmmh,

Perfect Love Songs 2 (Sounds of Africa)

Perfect Love Songs 2 (Sounds Of Africa)THE PLAYLISTRadio & Weasel -

Salima

Linex & Diamond je je, ahThe VOATuddy 1:

Waache Waoane

Fella!T.M.K. for lifeWasafiEnhe-he-heCheck it outWasafi ya moto

Wasted Energy (Remix)

1: Alicia want your loveDon't worry who I'm seein'

Why

- The tururu tutuYoyo yo, yoyo yo yoyoYoyo yo

Yataniua

Ni nini hiki mbona chanizuzuaNini hiki mbona chanisumbuaNakaribia kuzalilikaNakaribia kuzalilikaAliyeumba mapenzi

We've prepared the official lyrics Ukimuona by Diamond Platnumz on rare-Lyrics.com.
The complete song text appears below.


[Intro]
Mmmh

[Verse 1]
Mungu aliumba dunia, mapenzi tangu na tangu
Yashanipiga sasa, 'sina budi nielewe
Siwezi kung'ang'ania, 'huenda sio fungu langu
Japo ni shida 'ila, nitabaki mwenyewe
Oh, ila', mpe shukrani
Kwa kuniumiza, [Suraya]
Mwambie mi bado mahututi, nauguza kidonda changu
Na asisikie asilani, 'muambie mapenzi mabaya
[?] Kairuki singe tibu donda langu

[Pre-Chorus]
Kutwa nzima, moyo unanidunda, dunda, 'dunda
[?] nina saga rumba, 'rumba
Ah, unanidunda, dunda
Sema [?] we 'moyo
Unanidunda, dunda (Mami, moyo)
[?] nina saga rumba, 'rumba (Oh, mimi)
Na unanidunda, dunda
Eh...
Ukimuona

[Chorus]
Ukimuona
Ukimuona
Ukimuona
Ukimuona
Ukimuona
[Verse 2]
We nenda muambie marafiki, 'marafiki wabaya
Tena wengi waongo, 'wala wasimdanganye
Oh, yaani mashoga, rafiki
Oh, marafiki wabaya
Oh, mmmh

[Verse 3]
Tatizo mi bado
Nilipo teleza, nikakosa 'sipajui
Mpaka akafunga virago
Na akaamua kuondoka 'sitambui
Mbaya kinachoniumiza 'maneno, neno, maneno
Mara kwa ndugu, rafiki
Wa nini?
Yanawapa misemo
Najaribu papasa, 'huenda kwa macho ataona chochote
Ila ndio kutwa, 'mikasa
Na nnazidi kuanguka, niokote

[Pre-Chorus]
Kutwa nzima, moyo unanidunda, dunda, 'dunda
[?] nina saga rumba, 'rumba
Ah, unanidunda, dunda
Sema [?] we 'moyo
Unanidunda, dunda (Mami, moyo)
[?] nina saga rumba, 'rumba (Oh, mimi)
Na unanidunda, dunda
Eh...
Ukimuona
[Chorus]
Ukimuona
Ukimuona
Ukimuona
Ukimuona
Ukimuona

FAQ: Ukimuona by Diamond Platnumz

Q. Who sings Ukimuona

A. The hit track Ukimuona is performed by Esm Diamond Platnumz

Q. Who wrote the lyrics for Ukimuona

A. All lyrics are written by Diamond Platnumz

Hope you enjoyed reading the lyrics Diamond Platnumz - Ukimuona

A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z

DMCS Policy Privacy Policy

© 2025 «lyrics». All rights reserved.