Sugested Lyrics from Diamond Platnumz

African Beauty

1: Diamond Ah! Ah! Ah!Hhhmm Hhhmm Hhm Hhm Yeeh!I'm

Hallelujah

Platnumz (Yeah) and Morgan Heritage......For All LadiesYeah 1: Diamond

Niache

nikuombee memaNa baraka uzidi fanikiwaSiwezi kamwe wala (Hhhhmm)Ni sawa

Number One (Remix)

Diamond RecordsTudd ThomasCle-Clever 1: your body dey

Watora Mari

Jah Prayzah and Diamond zangalewaZimbabwe neTanzaniaTiri kufamba mamairaInzwa Diamond

Lala Salama

salamaMatatizo, chuki, la lala salamaKumbatia picha yanguKama ukinikumbuka sanaNipige

Africa Rising

lele mama maAma la na leleOh shake it for

Bado

RecordsAh, 1: kidomo wazi, nikifuta na machoziHuku

I Miss You

hapo vipi sijui unanisikia?Hello, na maneno natamani kukwambiaHello, tafadhali

Kesho

ChaliAi'yo nataka keshoTwende nikupeleke nyumbaniMI nataka keshoTwende ukamuone mamaMi

Kipi Sijasikia

1: Prof. kazi nifanye muziki wakatabiri nitalostWengine wakanishawishi tuloge

Komasava (Comment Ça Va)

1: Khalil Harisson, Diamond Platnumz, ngey'nkinga (Eish)S'yek' uk'balisela

Love Boat

IntroMy love ohMy love ohChorusEnter my love Boat let’s goCarry goEnter

Naanzaje

Aliumba ardhi akaumba mbinguAkaumba mbaramweziKaumba nafsi, Kaumba wivuAkayaumba na mapenziNa kukuacha

Nalia Na Mengi

1: Diamond niliambiwa mapenzi ni kama bahariUkishazama ndo basi

Ntaanzaje

(Ayolizer)Aliumba ardhi akaumba mbinguAkaumba mbaramweziKaumba nafsi, kaumba wivuAkayaumba na mapenziNa kukuacha

Nyumbani

Mwasiti & Ali mama wote wakina mama (Tudd Thomas)Si

Penzi

Upendo haupimwi kwa maneno walaUnapimwa kwa matendoNa acha waseme, usiku watalalaHawatolivunja

Salama

badmanMopaoNa samba lamaAiyoo ohhEh he he 1 :

Salima

Linex & Diamond je je, ahThe VOATuddy 1:

We've prepared the official lyrics Waache Waoane by Diamond Platnumz on rare-Lyrics.com.
The complete song text appears below.


[Intro: Chege]
Said Fella!
T.M.K. for life
Wasafi
Enhe-he-he
Check it out
Wasafi Records

[Pre-Chorus: Chege]
Maji ya moto yamekuwa baridi
(La, la, la, la, la...)
Hakimu nimekuwa shahidi
(La, la, la, la, la...)
Ukishusha mateso ndio yanazidi
(La, la, la, la, la...)
Alioniliza ndio wa kunifariji
(La, la, la, la, la...)

[Chorus: Chege]
Waache waoane...
Waache waoane...
Waache waoane...
Waache waoane...

[Verse 1: Chege]
Yamedhibitisha macho, 'lakini moyo unakataa
Nimeamini kikulacho, 'ni yule unayeona anayekufaa
Nilifumba mboni zangu, 'kwa wengine ni muone yeye tu
Nikamwaga jasho langu, japo kidogo' nile naye yeye tu
Mwambie' awe huru, wala sinto lalama
(Ah-ha, ah-ha)
Sitaki kukufuru, wafunge ndoa salama
(Ah-ha, ah-ha)
[Chorus: Chege]
Waache waoane...
Waache waoane...
Waache waoane...
Waache waoane...

[Verse 2: Diamond Platnumz]
Oh...
Ay, anaye panga kugawanya huwaga ni Mungu baba
Katu siwezi kulalama, ridhiki mafungu saba
Nimejitahidi sana, huenda sikumridhisha labda
Ila kinacho nichanganya, hakuniamba kabla
Oh!, 'tena nakupa maua, umpelekee
Usije yatupa, naomba uyapokee
Oh!, 'na swala ntafunga, usiku ni waombee
Awape baraka muumba, watoto wa waletee
Yeah...

[Bridge: Chege & Diamond Platnumz]
Waache waoane...
Oh, salimini salama
Waache waoane...
Aye, wawe baba na mama
Waache waoane...
Tena naeka na nadhiri
Waache waoane...
Aku! sinto wasumbua
[Pre-Chorus: Chege]
Maji ya moto yamekuwa baridi
(La, la, la, la, la...)
Hakimu nimekuwa shahidi
(La, la, la, la, la...)
Ukishusha mateso ndio yanazidi
(La, la, la, la, la...)
Alioniliza ndio wa kunifariji
(La, la, la, la, la...)

[Chorus: Chege]
Waache waoane...
Waache waoane...
Waache waoane...
Waache waoane...

[Post-Chorus: Diamond Platnumz]
Aga' japo moyo wangu (Kitete)
Moyo wangu (Kitete)
Ah, yarabi moyo (Kitete)
Taratibu nitazoea
Moyo...
(Kitete)
Moyo wangu (Kitete)
Mwenzenu moyo (Kitete)
Taratibu nitazoea
Oh, mama moyo...
(Kitete)
Moyo hii...
(Kitete)
Oh! wangu moyo (Kitete)
Moyo wangu mama
Yeah
[Instrumentals]

Aiyo, Laizer

FAQ: Waache Waoane by Diamond Platnumz

Q. Who sings Waache Waoane

A. The hit track Waache Waoane is performed by Esm Diamond Platnumz

Q. Who wrote the lyrics for Waache Waoane

A. All lyrics are written by Diamond Platnumz

Hope you enjoyed reading the lyrics Diamond Platnumz - Waache Waoane

A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z

DMCS Policy Privacy Policy

© 2025 «lyrics». All rights reserved.