Sugested Lyrics from Diamond Platnumz

Amanda

Wazozi wanirarango ziroria (Amanda)Rinongomira mbwira inokuila (Amanda)Eh! Tiffah mbe mama era

Baikoko

say....!Baby you like Yemi AladeI know.....Yeeh! Unampenda mtoto wa

Eneka

nah, aha agah!When I say I love you

Niache

nikuombee memaNa baraka uzidi fanikiwaSiwezi kamwe wala (Hhhhmm)Ni sawa

Chanda Chema

chema huvishwa peteBasi pende nikupenda mi nikuvishe darlingHongera ya

Bado Sana

unavyochumaga (bado)Mchicha tembele (bado sana)Waonyeshe unavyochumaga (bado)Mchicha (bado sana)Waonyeshe unavyochumaga

Bum Bum

WASAFIAha iyowee...Shake your bum bumOh baby! (Your bum bum)Oya shake that,

Gidi

PlatnumzS2Kizzy gidi, gidi geng, geng, gengGa gida, gi geng,

Holiday

I do todayWapi zinachomwa crateWetin I do

Kamwambie

kamwambie (uh huh)Jinsi navyo mpenda mi (uh huh)Na kama mapenzi

Komando

Diamond Platnumz, 𝘎 eh eh𝘞𝘢𝘳𝘢𝘢𝘢!(Leo lion simba na zombie

Love Boat

IntroMy love ohMy love ohChorusEnter my love Boat let’s goCarry goEnter

Naanzaje

Aliumba ardhi akaumba mbinguAkaumba mbaramweziKaumba nafsi, Kaumba wivuAkayaumba na mapenziNa kukuacha

Nitarejea

Diamond ah 1: Diamond mizigo umeshaweka tayariMmmh,

Rockonolo (Remix)

Diamond Platnumz, Lumino, Mohombi, this is the remix (Yeah)La

SETE (REMIX)

Young na na)Dali ngik’phethe-phethePhethe-phetheDali ngik’phethe-phethePhethe-phethe(Welcome to the 1:

Somebody

I’m curiousUmenishika pabaya, ma NimetuliaWay you moving your body

Unachezaje

and gentlemanNow the moment you've all been waiting forThe world

Wonder

SasaAchi achi achi achi(Sugar)Olo lo lo lo lo lo lo

Zuwena

Mhhh!! Habari gani kaka naamini unanisikiaMimi mzima wa afya, mama Mungu

We've prepared the official lyrics Tokomeza Ziro by Diamond Platnumz on rare-Lyrics.com.
The complete song text appears below.


[Hook: Linex & Peter Msechu]
Elimu bora ni muhimu (Tudd Thomas)
Kwa kila mmoja
Wote tuelimike
Tufikie malengo
Tokomeza Ziro
Kwa vitendo
Tokomeza Ziro (Tokomeza Ziro)
Kwa vitendo

[Chorus: Linex with All, Peter Msechu]
Mwisho wa Ziro...
Mwisho wa Ziro... (Tokomeza sina)
Mwisho wa Ziro...
Mwisho wa Ziro... (hey yeah)
Mwisho wa Ziro... (oh no)
Mwisho wa Ziro... (Mwisho wa ziro)
Mwisho wa Ziro... (pa', pa', pa'...)
Mwisho wa Ziro...

[Verse 1]
Linah Sanga:
Akakufundisha ukafika kuwa mwalimu
Chonde chonde
Moyo uliokuwa nao
Ualimu wako (wako)
Kipindi kile (kile)
Ndicho wanachohitaji wanafunzi wako vile vile
Jiunge na sisi
Roma Mkatoliki:
Yo
Nyerere alitupa chaki akaenda kudai uhuru
Elimu urithi wa haki acheni kupiga ndulu
Mama nishoneshe shati Nakuahidi nitafulu
Maticha wengi mayanki kazeni wanangu wa Bwiru (ha ha)
Ongeza mishahara iwe motisha
Zana za maabara na kukumbusha
Mwasiti:
Okoa kizazi chetu...
Roma Mkatoliki:
Ila Tokomeza Ziro, okay?

Peter Msechu:
Wanafunzi shika nidhamu
Isikuponyoke
Ni vibaya kukata elimu
Kwa vyovyote
Tambua kwa nini uko shule
Kata utoro
Kata utoro

MwanaFA:
Mwalimu fundisha
Ili mtoto aelewe ipasavyo
Usifundishe
Mtoto kudidimia kumawazo
Maisha yanahitaji elimu
Ndio msingi kwenye kila la muhimu
Kama yatamshinda
Hakuna zaidi yako wa kumlahumu
[Hook: Linex & Peter Msechu]
Elimu bora ni muhimu
Kwa kila mmoja
Wote tuelimike
Tufikie malengo
Tokomeza Ziro (na na na na na na na na na)
Kwa vitendo
Tokomeza Ziro (Tokomeza Ziro)
Kwa vitendo

[Chorus: Linex with All, Peter Msechu]
Mwisho wa Ziro...
Mwisho wa Ziro... (Tokomeza sina)
Mwisho wa Ziro...
Mwisho wa Ziro... (hey yeah)
Mwisho wa Ziro... (oh no)
Mwisho wa Ziro... (Mwisho wa ziro)
Mwisho wa Ziro... (pa', pa', pa'...)
Mwisho wa Ziro...

[Verse 2]
Kala Jeremiah: with K. Sher
Ana ndoto kila mtoto haki yake kwelimika (ah)
Ni hesima ni lazima kila mzazi kuwajibika (ah)
Tokomeza Ziro (eh)
Kwenu we ndo hero (eh)
Baba Mama wamaweka tumaini lao kwako
K. Sher:
Kiongozi mzingo usiyethamini elimu
Uliyesahau, ulifundishwa ukapata
Vikakujenga tukakupa nafasi
Utuongoze...

Stamina:
Kila kitu kizuri duniani huletwa na pesa
Elimu haina umri utasoma hata Memkwa
Fanya chaguo chagua kitu kimoja
Elimu ni ufunguo usipoteze uweke holders
Mitizamo hasi inafelisha vijana
Ticha ingia classi usitege bila maana
Kuwa hero uwe mshindi kila sekta
Tokomeza Ziro usimchore Messi NECTA

Diamond Platnumz:
Whoa, oh oh oh
Asiye na ndoto za urahisi pia
Ama kuwa msanii hujashangiliwa
Tena msanii mkali
Uweze kufika mbali
Sa vipi utapata
Na elimu unakata
Oh, vipi utapata
Na elimu unakata
Ah

Mwasiti:
Huku ukinyong'onyea...
Kwa woga na Kutojiamini
Ukikosa maarifa
Na mbinu za kukutoa shimoni

[Chorus: Linex with All, Peter Msechu, Maunda Zorro]
Mwisho wa Ziro...
Mwisho wa Ziro... (Tokomeza sina)
Mwisho wa Ziro...
Mwisho wa Ziro... (hey yeah)
Mwisho wa Ziro... (oh no)
Mwisho wa Ziro... (Mazingira, maburu)
(Mwisho wa ziro)
Mwisho wa Ziro... (pa', pa', pa'...)
Mwisho wa Ziro...

[Bridge: Maunda Zorro]
Tulia Mazingira...
Mabaara
Walimu
Wa sayansi na hisabati pia
Lishe duni darasa chakavu
Lakini bado we unaweza...
Kujituma ukafanya vizuri
From Ziro to Hero (zero to hero)
Ziro ni adui yetu...

[Chorus: All, Linex & Peter Msechu]
Mwisho wa ziro... (Elimu bora ni muhimu)
Mwisho wa ziro.. (kwa kila mmoja)
(Tokomeza sina) Mwisho wa ziro... (wote tuelimike)
Mwisho wa ziro... (tufikie malengo)
(Hey yeah) Mwisho wa ziro... (Tokomeza Ziro)
(Oh no) Mwisho wa ziro.. (kwa vitendo)
(Mwisho wa ziro) Mwisho wa ziro... (Tokomeza Ziro)
(Pa', pa', pa'...) Mwisho wa ziro... (kwa vitendo)
Mwisho wa ziro... (oh no no no)
Mwisho wa ziro.. (kwa kila mmoja)
(Tokomeza sina) Mwisho wa ziro... (wote tuelimike)
Mwisho wa ziro... (tufikie malengo)
(Hey yeah) Mwisho wa ziro... (Tokomeza Ziro)
(Oh no) Mwisho wa ziro.. (kwa vitendo)
(Mwisho wa ziro) Mwisho wa ziro... (Tokomeza Ziro)
Kwa vitendo

[Outro: Kala Jeremiah]
Panda mbegu bora
Kitabu ndio maisha yako

FAQ: Tokomeza Ziro by Diamond Platnumz

Q. Who sings Tokomeza Ziro

A. The hit track Tokomeza Ziro is performed by Esm Diamond Platnumz

Q. Who wrote the lyrics for Tokomeza Ziro

A. All lyrics are written by Diamond Platnumz

Hope you enjoyed reading the lyrics Diamond Platnumz - Tokomeza Ziro

A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z

DMCS Policy Privacy Policy

© 2025 «lyrics». All rights reserved.