Sugested Lyrics from Diamond Platnumz

Baila

Ayo Unanipenda sanaUmaarufu weka MbaliNa ile nyumba ni ya

Hallelujah

Platnumz (Yeah) and Morgan Heritage......For All LadiesYeah 1: Diamond

Iyena

1: Diamond Leo Chereko cherekoMwanenu nimekuwaZile kuringa mideko itapunguaAhsante

Abeykehh

Here we go againEveryday we celebrate for where we deyMake we

Amaboko

Rayvanny & Diamond maji tucheze kama kambaleLeo ni Vanny

Kamwambie

kamwambie (uh huh)Jinsi navyo mpenda mi (uh huh)Na kama mapenzi

Katika

yeahNo, no(Nahreel on the ehKatikaKatika... ehKatikaKatika...

Kizaizai (Remix)

mapenzi yanauma (Kizaizai)Yanaumiza (Kizaizai)Oh, kizunguzungu (KIzaizai)Jama mapenzi mabaya (Kizaizai)Weza gombana

Kizaizai (Remix)

Linah ThomasOh oh oh oh 1: Linah

Kwa Ngwaru

1: wish ningekuwaga na mavumbaMkwanja manotiNikuhonge vya thamaniAma,

Muziki Gani

Nay Wa Mitego & Diamond (Seductive Records)Trueboy's in the

Naila

you like me so muchAnything put awayAnd the love

Naogopa

Mapenzi chengaYakikupiga unasurrenderNa wengi wakipendwaWanasahau kuna kutendwaMapenzi chengaYakikupiga unasurrenderNa wengi wakipendwaWanasahau

Nidanganye

Diamond Platnumz & KGTPlatnumz, babyHollaHollaNikoShetta de Shetta de ShettaOkayShetta

Ntaanzaje

(Ayolizer)Aliumba ardhi akaumba mbinguAkaumba mbaramweziKaumba nafsi, kaumba wivuAkayaumba na mapenziNa kukuacha

Proper

Krizbeatz(Wasafi)You are not alone (Alone)I am there with you (What?)Girl you

Rockonolo (Remix)

Diamond Platnumz, Lumino, Mohombi, this is the remix (Yeah)La

Salima

Linex & Diamond je je, ahThe VOATuddy 1:

STREET LOVE

Diamond yeahYeah, Diamond Platnumz & I got

Time to Party

on the beatWasafiOriginal Mr Flavour (Turn it 1:

We've prepared the official lyrics Unachezaje by Diamond Platnumz on rare-Lyrics.com.
The complete song text appears below.


[Intro]
Ladies and gentleman
Now the moment you've all been waiting for
The world famous...
Eh eh
Zombe, oh
S2Kizzy, baby

[Verse 1]
Aga
Mfukoni nina kiti (mati)
Mkononi kai (mati)
Nasikia kuna kiki (wapi?)
Nije kujimwaga (kati)
Oh, haitoshi
Kalitaka Simba la baba kaletewa
Oh my gosh
Sasa kazima anataka kubebewa
Oh, haitoshi
Kalitaka Simba la baba kaletewa
Oh my gosh
Sasa kazima anataka kubebewa

[Chorus]
Nionyeshe unachezaje (unachezaje)
Unachezaje (unachezaje)
Kwani unachezaje (unachezaje)
Unachezaje
Asa nionyeshe unachezaje (unachezaje)
Unachezaje (unachеzaje)
Kwani unachezaje (unachеzaje)
Unachezaje (unachezaje)
[Verse 2]
Ilikwa mbili 4, 4
Pale pale (pale pale)
Dawa ya show, show, show
Nahisi ndale (nahisi ndale)
Peleka
Vuta
Taratibu songa pupa
Dereva
Shusha
Hapo mbele kwenye kuta
Eh...huu ni mti gani (wa Mchongaoma)
Ukiukata (haukatiki)
Sisi ni mti gani (wa Mchongaoma)
Wakitukata (hatukatiki)

[Chorus]
Nionyeshe unachezaje (unachezaje)
Unachezaje (unachezaje)
Kwani unachezaje (unachezaje)
Unachezaje
Asa nionyeshe unachezaje (unachezaje)
Unachezaje (unachezaje)
Kwani unachezaje (unachezaje)
Unachezaje (unachezaje)
[Verse 3]
Asa po po li po li po po po po po li po li po la
(Po po li po li po po po po po li po li po la)
Po po li po li po po po po po li po li po la
(Po po li po li po po po po po li po li po la)
Waambie chombo (kinapepea)
Eh, chombo (kinapepea)
Huwaga chombo (kinapepea)
KIle chombo (kinapepea)

[Break]
Aweh...
Acha
Aweh...
Ah...

[Outro]
Huo mnazi (unakatika)
Mnazi (unakatika)
Mama mnazi (unakatika)
Ona mnazi (unakatika)
Ukitaka kukatika hukatika kati kati katika...
Huo mjumba (unabomoka)
Mjumba (unabomoka)
Mama mjumba (unabomoka)
Ona mjumba (unabomoka)
Ukitaka kubomoka hubomoka bo bo bo bo bo bo bo...
(Mix Lizer)

FAQ: Unachezaje by Diamond Platnumz

Q. Who sings Unachezaje

A. The hit track Unachezaje is performed by Esm Diamond Platnumz

Q. Who wrote the lyrics for Unachezaje

A. All lyrics are written by Diamond Platnumz

Hope you enjoyed reading the lyrics Diamond Platnumz - Unachezaje

A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z

DMCS Policy Privacy Policy

© 2025 «lyrics». All rights reserved.