Sugested Lyrics from Diamond Platnumz

Kidogo

the awesome)NtamuWasafiKidogo dogo, ah kidogo kileKidogo dogo, ah kidogo kileKidogo

Sijaona

niende kwa mgangaNtoe doti za kangaAma nikufunge kambaNtadanganya mie

Bado Sana

unavyochumaga (bado)Mchicha tembele (bado sana)Waonyeshe unavyochumaga (bado)Mchicha (bado sana)Waonyeshe unavyochumaga

Baikoko

1: fineKila nikikaaga kwenye lineBila bilaShwaainKwake nimelewa kama

Black Madonna

Chii! Stone Bwoy na DiamondAga I smileI swear you blow my

Colours (Tanzanian Remix)

Diamond PlatnumzAah, waite rafiki, ndugu shabikiWambie muda sa tayari, ooohWa wewe

For You

Or nor nor norYeah yeahYou be the brush I be the

Kerewa

Diamond Platnumz & RecordsOh oh, oh ohWasafiClever TouchPlatnumzIt's your

Komasava (Comment Ça Va)

1: Khalil Harisson, Diamond Platnumz, ngey'nkinga (Eish)S'yek' uk'balisela

Leka Dutigite

Linex & Recho eh, Kigoma we, ah (tunayo furaha)Leka

Magufuli Baba Lao

Magufuli baba lao (Baba lao) Joseph baba lao (Baba lao) John

Make Me Sing

1: something you all I wantCan’t tell me

Money

Solidstar & Diamond Solidstar & Diamond dem dey

Naila

you like me so muchAnything put awayAnd the love

Proper

Krizbeatz(Wasafi)You are not alone (Alone)I am there with you (What?)Girl you

Salima

Linex & Diamond je je, ahThe VOATuddy 1:

Salome

hakidanganyi mamaUmejipodoa umepodokaMwendo na shepu, vyote mwananaMimi suruali yanidondokaTukimbizane nini

STREET LOVE

Diamond yeahYeah, Diamond Platnumz & I got

Utamu

Diamond Platnumz & Dully 4.12Ah, Baby de AntonyAh, HandsomeHeh

Wasted Energy (Remix)

1: Alicia want your loveDon't worry who I'm seein'

We've prepared the official lyrics Utanipenda by Diamond Platnumz on rare-Lyrics.com.
The complete song text appears below.


[Intro]
Tanta lala laaa
Ooh La la la la laaaa
Mmmmh

[Verse 1]
Ooh Ghafla visenti sina nimerudi Tandale
Nimeshindwa kulipa BIMA nimeuza Madale
Radio nyimbo wamezima Tv ndio hataree
Umeneja umebaki jina
Hanitaki hata Tale
Oooh wale shabiki zangu
Walionisifu kwa maneno matamu
Leo maadui zangu
Ni mitusi tu kwa instagram
Kimwanaa si dada angu
Eti nae hanifahamu
Hata Harmonize nikimpigia
Ananifokea kama Sallam

[Bridge]
Na magazeti ya nyumbani kwa kukuza habari si unajuagaa
Utasikia Tafalani eti Mondi kwa Zari amemwagwa
Navyo nilivyo mnyonge tabia ya kuwajibu sinagaa
Kama naiona michambo ya madem wa zamani nlio wapitiaga
[Pre Chorus]
Ooh nayosema yana maana
Sababu hakuna anaejua kesho
Anaepanga ni Rabana
Ila ameificha ni confidential
Ukisali omba sanaa
Mumeo nisije kuwa kichekesho
Maana rafiki wa jana
Aaah
Ndio adui mkubwa wa kesho

[Chorus]
La la la la la laaaaa
Au je utanipenda gaa?
La la la la laaa
Au nawe utanimwagaa?
La la la la laaaa
Ati utanipenda gaa ooh
Ooooh

[Verse 2]
Ooooooooh..
Bado naiwaza sana
Zile tunzo mashauzi airport
Je itapofika tamati
Utadiriki hata japo kunipost
Pindi show zimekwamaa
Na nikipata sijahis ni mikosi
Oooh jahazi limezama
Mola ninusulu baba
Kama namuona mwanangu
Roho yangu
Tiffa Dangote
Anakwenda na mamaangu
Kwa Jakaya Kikwete wanafukuzwa watoke
Usilie Sandra wangu
Mboni yangu
Jikaze usichoke
Huenda kesho zamu yangu
Nitavuma tena mambo yanyooke
[Bridge]
Eeeey
Na magazeti ya nyumbani
Kwa kukuza habari si unajuagaa
Utasikia tafalani eti Mondi kwa Zari amemwaga
Oh yeh yeh yeh
Navyo nilivyo mnyonge
Tabia ya kuwajibu sinaga
Kama naiona michambo ya madem wa zamani
Yani He he heeeeee

[Hook]
La la la la laaaaaa (eeeh)
(Ola lala la laaaalaa)
La la la la laaa
(Ooh ola la la laaaa)
La la la la la alaaaa
Eeeh
Ola la la lilaa ooh
I say..

[Verse 3]
Kama namuona mwanangu
Roho yangu
Tiffa dangote
Ana kwenda na mama angu
Kwa mkubwa Fella anafukuzwa watoke
Usilie sandra wangu
Mboni yangu
Jikaze usichoke
Huenda kesho zamu yangu
Nitavuma tena
Mambo yanyooke(he he heee)
[Hook]
Eiiii
Ola lala lilaa
Oooh baby
Tudd Thomas

[Outro]
Oooooh
Nayosema yana maana
Sababu hakuna anaejua kesho
Anaepanga ni Rabana
Ila ameificha ni confidential
Ukisali omba sana
Mumeo nisije kuwa kichekesho
Maana rafiki wa jana
Ndio adui mkubwa wa kesho

WASAFIIII..

FAQ: Utanipenda by Diamond Platnumz

Q. Who sings Utanipenda

A. The hit track Utanipenda is performed by Esm Diamond Platnumz

Q. Who wrote the lyrics for Utanipenda

A. All lyrics are written by Diamond Platnumz

Hope you enjoyed reading the lyrics Diamond Platnumz - Utanipenda

A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z

DMCS Policy Privacy Policy

© 2025 «lyrics». All rights reserved.