Sugested Lyrics from Diamond Platnumz

African Beauty

1: Diamond Ah! Ah! Ah!Hhhmm Hhhmm Hhm Hhm Yeeh!I'm

Pamela

1: Diamond kako sexyPamela!Kiuno kama kazaliwa CongoEbu ni ka

Bado

RecordsAh, 1: kidomo wazi, nikifuta na machoziHuku

Bado Sana

unavyochumaga (bado)Mchicha tembele (bado sana)Waonyeshe unavyochumaga (bado)Mchicha (bado sana)Waonyeshe unavyochumaga

Chitaki

We ndo kitumbua we ndo sambusaBasi njoo unichum baby ndo tuseme

Eich She’hee Rokedet (Baila) - (איך שהיא רוקדת (ביילה

דיאמונד is the remixAll the way from IsraelSubliminal, Miri

Fresh

Pabi Cooper & Diamond yeah, yeah...(Ah, tchu)Yeah, yeah, yeah...(Tchu,

IYO

Diamond Platnumz, Mapara A Jazz, Ntosh tchu, tchu, tchu,

Litawachoma

1 : LouziiKipenzi Changu Cha NgamaMi Ma Wewe Hadi

Nakupenda

Diamond Platnumz & Chidoo on the beat)It's IyanyaLet's goNa

Nitafanyaje

ooohEnheeeHii ni kwa sema kitandani, labda umasikini wanguNdo

Number One

Diamond 1: Diamond mapenzi safarUjana ni maji

Ongeza

Kwako Sikuingia MiguuMikono Hadi Kichwa Kiufupi MazimaNikiaminiiWakufa KuzikanaYani Hoi

Salima

Linex & Diamond je je, ahThe VOATuddy 1:

Shu!

Diamond Platnumz, ZombieNa Simba la ma Simba DangoteEh bathi

Tayari

1: we gon' sweat, sweat, sweatTayariEverything is all setTayariI

Tetema (Loh Ra remix)

Rayvanny ft Diamond platnumz_-_Tetema (Loh Ra remix)Chorus;TetemaTetemaTetemaVerseTetemaKama kakupiga ngetaTetemaTetemaChorus;TetemaTetemaTetemaVerse 2Hoi mama,

Tetema (Remix)

whole world, MiamiThis is history in the makingCuba, RayvannyYeah you

The One

heart can never tell me liesI know you

Yatapita

yana mwishoIpo siku tutayasahauWatatuheshimu walio tudharauKaza moyo nivumilieAmini tutayasahauWatatuheshimu walio

We've prepared the official lyrics Wale Wale by Diamond Platnumz on rare-Lyrics.com.
The complete song text appears below.


[Intro]
Sisi ndo wale wale
Mlio tukataa
Mkasema hatufiki mbalee (Na Simba lamaa)
Sasa tumejipata
Ni Zuchu chu chu chu chu
Hehehee (Ay-Ayo Trone) ai wewee Troniiiiii, heee!

[Verse 1 : Zuchu]
Ayayayaya ulivyonipiga juju
Ulidhani nitagwaya, hukujua nina Mungu
Ayayayayaya eti nile chukuchuku
Mambo yangu yako sawa
Nishashiba kukukuku
Hee! Chote ni choyo na sijalii
Ndio kina waumiza
Na Mungu wangu, (Na Mungu wangu)
Yu Ngangari, cheza nami atawamaliza
Karibu ntanunua gari nakuja kwenu
Itaneni muambizane mje mjae (Mama Sumaaa)
Maisha yangu ya bei ghali kuliko yenu
Mi ndo yule mlikatazwa msicheze nae
Sisi ndo nani

[Chorus : Zuchu]
Sisi ndo wale wale (Sisi ndo wale wale)
Mlio tukataa (Mlio tukataa)
Mkasema hatufiki mbalee (Jamani Mungu si Athumani)
Sasa tumejipata (Aii aaah hee)
Sisi ndo wale wale (Sisi ndo wawawawa)
Mlio tukataa (Mlio tukataaa)
Mkasema hatufiki mbalee (Jamani Mungu si Athumani)
Sasa tumejipata aritikitiki tikitiki
Eeh rikiti tikiti tikiti tikiti tikiti tikiti hee!
Arerererere are tokoto tokoto
Tokoto tokoto tokoto tokoto hee!
[Verse 2 : Diamond Platnumz]
Ooh, eti ntakufa, kwani we utaishi milеle
Nilipozitafuta, mbona mliniacha mwenyewе
Hizo chuki na pupa ooh, ndo zinofanya mchelewe
Kwa kushinda kutwa, roho mbaya na viherehere
Hee na mwaka huu
Mtaisaga rumba, eh kwanini
Maana nimemowomba Mungu mpaka nyumba
Na mjiandae kwa sare za ndoa sio uchumba
Eeh waganga, waganga wenu wambieni wakoleze ndumba
Ah, oh! Binadamu ni waajabu sana, jaabu sana
Wana maneno ya kukatisha tamaa
Binadamu ni waajabu sanaaa
Wana matendo ya kuumiza sana
Walisema eti nna nuksi ya senti (Kapachuka)
Nyota yangu ya boda ya kwao ya jeti
Nani wa kunidate bega kama kenchi
Kudadeki zenu asa mbona mnakechi
Oooh, sisi ndo walewale

[Chorus : Zuchu]
Sisi ndo wale wale (Sisi ndo wale wale)
Mliotukataa (Mliotukataa)
Mkasema hatufiki mbalee (Jamani Mungu si Athumani)
Sasa tumejipata (Aii aaah hee)
Sisi ndo wale wale (Sisi ndo wawawawa)
Mliotukataa (Mliotukataaa)
Mkasema hatufiki mbalee (Jamani Mungu si Athumani)
Sasa tumejipata aritikitiki tikitiki
Eeh rikiti tikiti tikiti tikiti tikiti tikiti hee!
Arerererere are tokoto tokoto
Tokoto tokoto tokoto tokoto hee!

FAQ: Wale Wale by Diamond Platnumz

Q. Who sings Wale Wale

A. The hit track Wale Wale is performed by Esm Diamond Platnumz

Q. Who wrote the lyrics for Wale Wale

A. All lyrics are written by Diamond Platnumz

Hope you enjoyed reading the lyrics Diamond Platnumz - Wale Wale

A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z

DMCS Policy Privacy Policy

© 2025 «lyrics». All rights reserved.