Sugested Lyrics from Diamond Platnumz

Amanda

Wazozi wanirarango ziroria (Amanda)Rinongomira mbwira inokuila (Amanda)Eh! Tiffah mbe mama era

Baila

Ayo Unanipenda sanaUmaarufu weka MbaliNa ile nyumba ni ya

Kidogo

the awesome)NtamuWasafiKidogo dogo, ah kidogo kileKidogo dogo, ah kidogo kileKidogo

Niache

nikuombee memaNa baraka uzidi fanikiwaSiwezi kamwe wala (Hhhhmm)Ni sawa

Tere

dikoAh ahEh ehThe best of MagicPe pePe Kizz

Alive

on the e no be GodI no fit

Kizaizai

kama safariTwende fulani ukaoneKumu yana nguvu ni hatariUkishanasa ndio

Nimpende Nani?

Ah!Nimpende nani?Nimpende, eh, ehNimpende nani?Nimpende, ah-ahNimpende nani?Nimpende, eh, ehNimpende nani?Nimpende,

Chacun pour soi

1: Papa ezolela est ce que ozoyokaMawa na nga

Colors (Tz)

1: Diamond Waite rafikiNdugu shabikiWambie muda sa tayari oohWa

I Miss You

hapo vipi sijui unanisikia?Hello, na maneno natamani kukwambiaHello, tafadhali

Kamwambie

kamwambie (uh huh)Jinsi navyo mpenda mi (uh huh)Na kama mapenzi

Kissing (Remix) (Coke Studio Performance)

Yemi Alade Yemi me and you sitting

Komando

Diamond Platnumz, 𝘎 eh eh𝘞𝘢𝘳𝘢𝘢𝘢!(Leo lion simba na zombie

Leka Dutigite

Linex & Recho eh, Kigoma we, ah (tunayo furaha)Leka

Penzi

Upendo haupimwi kwa maneno walaUnapimwa kwa matendoNa acha waseme, usiku watalalaHawatolivunja

Sound

Diamond shika kashika hukuEh eh, kashika hukuEh, shika kashika

Why

- The tururu tutuYoyo yo, yoyo yo yoyoYoyo yo

Wonder

SasaAchi achi achi achi(Sugar)Olo lo lo lo lo lo lo

Zuwena

Mhhh!! Habari gani kaka naamini unanisikiaMimi mzima wa afya, mama Mungu

We've prepared the official lyrics Yatapita by Diamond Platnumz on rare-Lyrics.com.
The complete song text appears below.


[Chorus]
Yatapita yana mwisho
Ipo siku tutayasahau
Watatuheshimu walio tudharau
Kaza moyo nivumilie
Amini tutayasahau
Watatuheshimu walio tudharau wote
Na ntakununulia (vyote)
Mawigi na simu (vyote)
Nitakuzawadia (vyote)
Pochi zenye thamani (vyote)
Na we wenda waringishia (vyote)
Utembee kwa uskani (vyote)
Na vioo ukiwafungia (vyote)

[Verse 1]
Aloiumba leo ni mungu na ndo ataiumba kesho
Amini fungu letu laja haliko mbalii
Alisema mtaza kwa uchungu tutatafuta kwa mateso
Baby mitihani kawaida usijali
Kidogo nachokuletea usinune pokea
Nipate moyo unifarijii
Na Vyote navyoongezea
Usichoke niombea
Mola atubariki zaidi
Mungu kakupa sura kakupa shepu
Nyuma chura mambo yetu
Mwana wa sanura
Mwenzako mimi I love you
Umeniteka medulla niko fyetu
Akili haina ndala iko peku
Umeniburura
Mwenzako mimi i love you
Ooh nivumilie
[Chorus]
Yatapita yana mwisho
Ipo siku tutayasahau
Watatuheshimu walio tudharau
Kaza moyo nivumilie
Amini tutayasahau
Watatuheshimu walio tudharau wote
Na ntakununulia (vyote)
Mawigi na simu (vyote)
Nitakuzawadia (vyote)
Pochi zenye thamani (vyote)
Na we wenda waringishia (vyote)
Utembee kwa uskani (vyote)
Na vioo ukiwafungia (vyote)

[Verse 2]
Tazama nyota na mbalamwezi zatutazama
Liliwaka jua zikafanya subira
Mmh Na ninapokosa nambie mupenzi
Sio kuzozana
Nyumba haijengwi kwa vita hasira
Kwenye macho yako nikiyatazama
Naiona huruma yako mama
Changamoto mana kuna muda unakata tamaa
Nanoa kisu hatuui mnyama
Na kodi nyundo zatuandama
Ridhiki zama kwa zama
Ya kwetu kesho ya kwao ni jana
Kidogo nachokuletea usinune pokea
Nipate moyo unifarijii
Navyote naviongeze husichoke niombea
Mola atubariki zaidi
Yatapita kipenzi changu
[Chorus]
Yatapita yana mwisho
Ipo siku tutayasahau
Watatuheshimu walio tudharau
Kaza moyo nivumilie
Amini tutayasahau
Watatuheshimu walio tudharau wote
Na ntakununulia (vyote)
Mawigi na simu (vyote)
Nitakuzawadia (vyote)
Pochi zenye thamani (vyote)
Na we wenda waringishia (vyote)
Utembee kwa uskani (vyote)
Na vioo ukiwafungia (vyote)

[Outro]
Mungu kakupa sura kakupa shepu
Nyuma chura mambo yetu
Mwana wa sanura
Mwenzako mimi I love you

FAQ: Yatapita by Diamond Platnumz

Q. Who sings Yatapita

A. The hit track Yatapita is performed by Esm Diamond Platnumz

Q. Who wrote the lyrics for Yatapita

A. All lyrics are written by Diamond Platnumz

Hope you enjoyed reading the lyrics Diamond Platnumz - Yatapita

A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z

DMCS Policy Privacy Policy

© 2025 «lyrics». All rights reserved.