Sugested Lyrics from Diamond Platnumz

13. Sugua

Simsima, toto mpe funguo za bimaAnitoa Bongo nimefika mpaka ChinaToto Zipuka

Baikoko

say....!Baby you like Yemi AladeI know.....Yeeh! Unampenda mtoto wa

Gongo La Mboto

Diamond wale usiku hatujalalaWale mabomu yamewapa madharaYalosababisha maafa viro

Lala Salama

salamaMatatizo, chuki, la lala salamaKumbatia picha yanguKama ukinikumbuka sanaNipige

Abi

Baby take my heartTake all my soul and bodyAnything you wantI'll

Chacun pour soi

1: Papa ezolela est ce que ozoyokaMawa na nga

Colours (Tanzanian Remix)

Diamond PlatnumzAah, waite rafiki, ndugu shabikiWambie muda sa tayari, ooohWa wewe

Haunisumbui

Kokoko Si KandambiliYani Vyote HavikupendeziMwana Ngoko UsonawiliTope Bin UtereziUtaishia

Inama

#1: Diamond kama mtotoFuraha unafurahiaAlafu geuka motoMachozi unaliaMwembamba mweneneUwe

Kizaizai (Remix)

mapenzi yanauma (Kizaizai)Yanaumiza (Kizaizai)Oh, kizunguzungu (KIzaizai)Jama mapenzi mabaya (Kizaizai)Weza gombana

Litawachoma

1 : LouziiKipenzi Changu Cha NgamaMi Ma Wewe Hadi

Love Boat

IntroMy love ohMy love ohChorusEnter my love Boat let’s goCarry goEnter

Mwanza

BoyEh! Vanny BoyThey are not ready for nyege nyegeKwetu

Nawaza

tuNawaNawaNawaNawaza pru mpaka maka Ruge amerudi tenaJe kwa

Nitarejea

Diamond ah 1: Diamond mizigo umeshaweka tayariMmmh,

Ntaanzaje

(Ayolizer)Aliumba ardhi akaumba mbinguAkaumba mbaramweziKaumba nafsi, kaumba wivuAkayaumba na mapenziNa kukuacha

Ntampata Wapi

yake m'taratibuMwenye macho ya aibuKumsahau najaribuIla namkumbuka sanaUmbo

Tayari

1: we gon' sweat, sweat, sweatTayariEverything is all setTayariI

Ukimuona

aliumba dunia, mapenzi tangu na tanguYashanipiga sasa, 'sina budi

Utamu

Diamond Platnumz & Dully 4.12Ah, Baby de AntonyAh, HandsomeHeh

We've prepared the official lyrics Toka Mwanzo by Diamond Platnumz on rare-Lyrics.com.
The complete song text appears below.


[Intro: Diamond Platnumz & Fetty Sley]
Yeah, yeah, yeah, yeah (ah ah)
Bae, bae, bae, babe
Yeah, yeah, yeah, yeah (ah ah, ah...)
Bae, bae, bae, babe
Ma, ma, ma, ma (ah ah ah)
Bae, bae, bae, babe (ah...)

[Verse 1: Diamond Platnumz & RJ the DJ]
Mama kwanza nilipokwona na
Ulisema ati just a friend now
Wala kwanza huna mpango naye
Alitaka tu mka spend a ride
Na na na ukamkatalia
Ukamkimbia
Baki anaumia na
Eti kuanalia
Tena kwa hisia (Ati kisa kuwa na we)
Maneno mengi kunidanganya
Nikiwa sipo kumbe mnafanya
Nimeshow love tena kwa sana
Nitakosea nikikuita player
Sitokosea nikikuita player mbona we
(Come on, come on, come on, come on)

[Chorus: Diamond Platnumz & Fetty Sley]
Sasa si wala wе ungesema toka mwanzo
Kama sipo hata kwenyе yako mawazo
Kisa nini ya mapenzi alizo nazo
Hizo ambazo zimekuvutia
Kwenye hizo zimekuvutia...
Hizo ambazo zimekuvutia
Kwenye ambazo zimekuvutia wewe
Zimekuvutia
Ati bora ningesema toka mwanzo
Kama upo hata kwenye yako mawazo
Kisa nilie mapendo nilizo nazo
Hizo ambazo zimenivutia
Hizo ambazo zimenivutia...
Zimenivutia
Hizo ambazo zimenivutia mimi...
Zimenivutia...
[Verse 2: Diamond Platnumz & Fetty Sley]
Usinizuge kwa makiss kibao
Ati "Diamond, nakupenda sana"
Nikiwa sipo unanipiga bao
Kwa mamisemo kwa
Utadharau namba hii uchechema
Sasa vipi? Vipi? Vipi?
Sasa sa vipi? Vipi? Vipi? Wewe
Hamna noma nitaride nao
Bora mtakoma bonge la mshangao
Aya
Wewe sawa
Wewe
Maneno kibao 'cause unipenda, alright
Na naomba mshangao zaidi ya kima, alright
Unasema hutaki niona na, ye ye
He's just a friend baby, naomba nielewe
Ni wangapi nimeponda nao
Wala kwanza sina mpango nao
Ukiniona nao unasema maboy
Sasa nitakuwa na wangapi
Wangapi mimi?

[Chorus: Diamond Platnumz & Fetty Sley]
Sasa si wala we ungesema toka mwanzo
Kama sipo hata kwenye yako mawazo
Kisa nini ya mapenzi alizo nazo
Hizo ambazo zimekuvutia
Kwenye hizo zimekuvutia...
Hizo ambazo zimekuvutia
Kwenye ambazo zimekuvutia wewe
Zimekuvutia
Ati bora ningesema toka mwanzo
Kama upo hata kwenye yako mawazo
Kisa nilie mapendo nilizo nazo
Hizo ambazo zimenivutia
Hizo ambazo zimenivutia...
Zimenivutia
Hizo ambazo zimenivutia mimi...
Zimenivutia...
[Verse 3: RJ the DJ with Fetty Sley]
Baby girl
Najua unanipenda
But sometime, kwanini unenitenda
Unaniumiza roho
Sifauti ya hao
Na chill
Na feel
Nahisi sina deal
Na kama unakuja njoo tena for real, ma
Nakuja natoka nakuacha nacheka
Ukiniona unadeka na kumbe nikiondoka unateta
Come on
Baby
I'll never let you go, go
Like crazy
Nabaki sema no, no

[Outro: RJ the DJ & Fetty Sley]
Diamond
Like crazy
Nabaki sema no...
Nabaki sema no
Oh oh
Oh, ah...
Crazy...

FAQ: Toka Mwanzo by Diamond Platnumz

Q. Who sings Toka Mwanzo

A. The hit track Toka Mwanzo is performed by Esm Diamond Platnumz

Q. Who wrote the lyrics for Toka Mwanzo

A. All lyrics are written by Diamond Platnumz

Hope you enjoyed reading the lyrics Diamond Platnumz - Toka Mwanzo

A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z

DMCS Policy Privacy Policy

© 2025 «lyrics». All rights reserved.